Video : Lulu Michael Afunguka Kuhusu Mimba yake, Kuolewa na Kutengana kwa Wazazi Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video : Lulu Michael Afunguka Kuhusu Mimba yake, Kuolewa na Kutengana kwa Wazazi Wake.

Miezi michache iliyopita mwana Bongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa ????

Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza mskiza katika video hii hapa chini ....

 TAZAMA VIDEO HAPA: 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.