Video: Giggy Money Asema Hata Akiwa Hawara Kwa Matonya Hamna Shida - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Giggy Money Asema Hata Akiwa Hawara Kwa Matonya Hamna Shida

Story ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Matonya kwa sasa anatoka kimapenzi na Giggy Money huku wakisikika kuwa ni kick ya ngoma yao ya Supu.

Katika mahojiano waliyofanya na ENewz wote wawili walishindwa kukubali moja kwa moja kuwa wameanguka pamoj akitandani au hawajaanguka kitandani lakini walibaki kusifia Supu huku Giggy Money akisema kuwa Matonya kwake nizaidi ya mpenzi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.