Shilole Amefunguka "Mimi ni Mwanamke Mzuri Sana Hamna Anayebisha" Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole Amefunguka "Mimi ni Mwanamke Mzuri Sana Hamna Anayebisha" Ipo Hapa

Bet Sasa
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.