Rihanna na Drake Wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Siri kwa Zaidi ya Mwezi 1 Sasa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rihanna na Drake Wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Siri kwa Zaidi ya Mwezi 1 Sasa.

Jarida la PEOPLE limefumua bonge moja la siri kuwa staa Rihanna na rapa Drake wamekuwa na mahusiano ya siri kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

Rihanna na Drake wamefanya collabo kama “Take Care” .“What’s My Name?” na “Work” ila pia wamekuwa wapenzi kwa muda sasa bila kutaka dunia ijue.

Rihanna ndio sababu ya Drake na Chris Brown kutoelewana ila kwa sasa inasemekana Kwa Rihanna pale Drake beki hazikabi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.