Picha: Jacqueline Wolper Aonyesha Kuwa Ni Mjamzito Na Anatarajia Kupata Mtoto Wa Kike - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Jacqueline Wolper Aonyesha Kuwa Ni Mjamzito Na Anatarajia Kupata Mtoto Wa Kike

Staa wa filamu hapa nchini, Jacqueline Wolper ameanika wazi kupitia mtandao wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mjamzito na anatarajia kupata mtoto wa kike. Kupitia account yake ya Instagram ameweka Video na picha kadhaa ambapo kwenye moja ya picha aliandika "Nimemleta bint 🙏" lakini pia aliandika "Naomba mnitag kwenye nguo zawatoto wachanga plz za kike" kwenye picha nyingine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.