Picha: Huu Ndio Mwonekano Mpya Wa Msanii Jux, Unasemaje ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Huu Ndio Mwonekano Mpya Wa Msanii Jux, Unasemaje ?

Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.
“Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy,” ameandika Jux kwenye moja ya picha alizoweka Instagram.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.