Mwanaume Wa Kenya Aolewa na Profesa Mmarekani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanaume Wa Kenya Aolewa na Profesa Mmarekani

Mwanaume anayetokea Nakuru, Kenya mwenye makazi yake Marekani, Jumamosi iliyopita aliolewa na mwanaume mwenzake, kwenye sherehe iliyohudhuriwa na marafiki na familia.
1-146 Ben Gitau akiwa na mume wake Steve Damelin
Harusi hiyo ilifanyika Ann Arbor, Michigan. Ben Gitau, 33 alifunga ndoa na Mmarekani ambaye ni Profesa wa Hesabu Steve Damelin.
Ndoa hiyo ambayo inaruhusiwa kwenye jimbo la Michigan ilimfanya Gitau awe mke halali wa Professor Damelin. Hatua hiyo imekosolewa vikali kwao Kenya kutokana na mapenzi ya jinsia moja kuwa yanapigwa marufuku.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.