Mwanamuziki Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa, Kisa Ni "Chura" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa, Kisa Ni "Chura"

Tamko hilo limekuja mara baada ya TCRA, BASATA na Wizara ya habari, Bodi ya filamu kukaa na Bi Snura kwa kubaini kuwa wimbo una maudhui ya udhalilishaji , ukiukwaji wa haki za binadamu na tamaduni ya kitanzania.

Msanii amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Basata kinachomtambua kama msanii.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.