Mo Music: Maumivu Ya Mapenzi Yanasababisha Mimi Kufanya Vizuri Kwenye Kazi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mo Music: Maumivu Ya Mapenzi Yanasababisha Mimi Kufanya Vizuri Kwenye Kazi.

Mo Music ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wanaumizwa sana na mapenzi hasa akikumbuka siku ambayo aliyopigwa chini na mpenzi wake.

Akiongea kwenye kipindi cha 5 SELEKT, kinachoruka kupitia EATV, Mo Music alisema, “Nishawahi kuumizwa.”

“Unajua mimi nilikuwa na mwanamke wangu, nilianza ku-date naye nikiwa form two mpaka mwaka wa kwanza, yeye alikuwa ndiyo anamaliza form six, hizo pain mpaka leo zina-click kwenye kichwa changu, lakini ndiyo zinanifanya niweze kufanya vizuri kwenye muziki, na kwa sasa tumebaki kuwa marafiki tu,” aliongeza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.