Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Amtembelea Diamond Ofisini Kwake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Amtembelea Diamond Ofisini Kwake.

From @diamondplatnumzShukrani sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam 
@PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku....ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa kazi zetu....Hakika wewe ni kiongozi wa pekee....Tunashkuru kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza kwetu Jana!... ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.