Michezo: Yanga Yakabithiwa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Leo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Michezo: Yanga Yakabithiwa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Leo

Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC uliomalizika kwa sare ya 2-2

Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao jioni ya leo Uwanja wa Taifa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.