Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah "KINYAMBE" , afariki Dunia huko Mbeya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah "KINYAMBE" , afariki Dunia huko Mbeya

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.