Manny Pacquiao Achaguliwa Kuwa Seneta - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Manny Pacquiao Achaguliwa Kuwa Seneta

Manny Pacquiao akipambana na Floyd Mayweather.

Bondia raia wa Ufilipino Manny Pacquiao, ameshinda kiti kwenye bunge la senate la nchi hiyo.

Pacquiao ni ni kati ya masenata 12 wapya waliochaguliwa katika bunge la juu wakati wa uchaguzi wa hivi majuzi.
Alipata kura milioni 16.Wengi wanaamini ushindi utotaa fursa katika jaribio lake la kushinda urais siku za usoni.

Wengi wanaamini kuwa uchaguzi huo wa mmoja wa watu maarufu zaidi duniani katika ulingo wa ndodi, utotaa fursa katika jaribio la kushinda urais siku za usoni.

Pacquiao ameshinda mataji kadha makubwa duniani na kuwa mwakilishi wa bunge wa chini nchini Ufilipino.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.