Mama yake Tupac, Afeni Shakur Davis Aiaga Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mama yake Tupac, Afeni Shakur Davis Aiaga Dunia

Bet Sasa
Afeni Shakur Davis, mama yake na hayati Tupac Shakur amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 69.

afeni-shakur-bw2
Mama huyo alipata mshtuko wa moyo Jumanne kabla ya kupelekwa hospitali alikopoteza maisha kabla ya saa nne na nusu usiku.
Shakur, aliyezaliwa kwa jina la Alice Faye Williams, alibadilisha jina lake baada ya kuhamia New York City na kujiunga na vugu vugu la Black Panther.
Tupac aliwahi kumuimbia mama yake huyo kwenye wimbo ‘Dear Mama’ wa mwaka 1995 akielezea shida za utotoni na alivyomheshimu mama yake.
“There’s no way I can pay you back/But the plan is to show you that I understand/You are appreciated,” alirap Tupac.BONGO5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.