List ya Wasanii Wakubwa Ambao Navy Kenzo Wamefanya Nao Collabo, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

List ya Wasanii Wakubwa Ambao Navy Kenzo Wamefanya Nao Collabo, Ipo Hapa

Kundi la muziki wa Bongo Flava nchini, NavyKenzo, wametoa orodha ya wasanii 4 wakubwa barani Afrika ambao tayari wamefanya nao Kolabo.

Akizungumza kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm, mmoja kati ya memba wa kundi hilo ambaye pia ni Producer Nahreal amesema kwa sasa anataka iwe ‘Surprise’ kwa mashabiki wao kuhusu kolabo ipi hasa ianze kutoka.

“Ah ipi inaanza kutoka tunaweka kwenye mabano kidogo, lakini all most zote zimekwisha tuna album na tuna vingi vingine vinakuja” Alisema.

Aliwataja wasanii hao kuwa ni pamoja na Pantoranking wa Nigeria, R2bees, Jack Jagz na Ali kiba.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.