Kumbe Ni Kweli Madee Alikwichikwichi na Shilole na Nuh Mziwanda Akawafumania ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kumbe Ni Kweli Madee Alikwichikwichi na Shilole na Nuh Mziwanda Akawafumania !

Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe

Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania

Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa

Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.