Jamaa Aliyejitosa Zoo Aliwe na Simba Laivu Alikuwa Anadai Mwisho wa Dunia Umefika. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jamaa Aliyejitosa Zoo Aliwe na Simba Laivu Alikuwa Anadai Mwisho wa Dunia Umefika.

Inasikitisha kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla waliuwawa. aliingia kwenye jumba la simba akavua nguo na kuwadandia badae akachenjiwa...kwenye nguo zake kimekutwa kikaratasi-suicide note...kwamba mwisho wa dunia umefika kwahiyo anajiwahi.....ana miaka 20...inaonekana alikua muumini maana alikua akimtaja yesu....walioshuhudia wamesema....nchini Chile.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.