Hii Kali: Kuna Sehemu Kanye West Akiwepo, Huruhusiwi Kumtazama,Ni Lazima Utazame Pembeni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Kali: Kuna Sehemu Kanye West Akiwepo, Huruhusiwi Kumtazama,Ni Lazima Utazame Pembeni.


Muhudumu wa chakula maarufu Mjini New Yori Stacy Adler ’50’ amefunguka juu ya kitendo alichofanyiwa wakati wa shughuli ya Kanye West na kusema nikitendo ambacho hata sahau.

Kwenye kitabu kipya cha Ina Yalof ‘Food and the City’ muhudu huyu anayefanya kazi na mastaa wengi kama Beyonce, Jay Z, Jennifer Lopez, George Clooney, Madonna amesema aliambiwa asimtazame Kanye West na kwamba wakati anapita wahudumu wote waangalie pembeni.

Stacy anasema”Watu wote maarufu wako powa sana ila wapambe wao ndio wanasumbua, niliambiwa na watu wa Kanye kuwa akipita hakuna mtu wa kumtazama, lazima uweke shingo pembeni na usimuone wakati anapita kitu ambacho kilinikera sana“.

-fahamutv

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.