Penzi La Harmonize Na Jacqueline Wolper Lazidi Kukua Jionee Mwenyewe (Pichaz) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Penzi La Harmonize Na Jacqueline Wolper Lazidi Kukua Jionee Mwenyewe (Pichaz)

Mwanzo walianza kama kick lakini kwasasa wanaonekana kama wapo serious. Harmonize mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na Jacqueline Wolper ambayeni x wa Diamond Platnumz. Picha hizi walizotupia mtandaoni zimezidi kuling'arisha penzi lao.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.