Harmonize Ameamua Kumwimbia Mpenzi Wake Wolper Wimbo Huu Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Ameamua Kumwimbia Mpenzi Wake Wolper Wimbo Huu Hapa

Penzi la Harmonize na Wolper lnazidi pamba moto hadi imefikia mpaka Harmonize kumtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi. Harmonize alimtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi akiwa katika show yake huko Mtwara.

 Inasemekana kua Harmonize kadata na penzi la Wolper hadi kaamua kumtungia wimbo akielezea jinsi gani anampenda Wolper. Unaweza uskiliza hapa chini na itakua poa sana ukituachia maoni yako kuhusiana na wimbo huu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.