Hanscana" Nimemaliza Tofauti Yamgu na Q Chief - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hanscana" Nimemaliza Tofauti Yamgu na Q Chief

Director kiwango wa video Bongo anayepiga mzigo kupitia Wanene Films, Hanscana, amesema tayari wamemaliza tofauti na ugomvi uliokuwako kati yake na msanii wa muziki Abubakary ‘Q Chief’ Katwila.

Akizungumza kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Hanscana amedai Q chief ni kama kaka yake na wamefungua ukurasa mpya na hata akitaka kufanya nae kazi yupo tayari.

“Tumesha malizana tumeondoa tofauti tayari, kwa hiyo inawezekana pia mimi na Q chief kufanya kazi pamoja” alisema Hanscana.

Miezi kadhaa nyuma Q chief alisikika redioni akitoa Diss kwa Directors wa video za Bongo kuwa, wanahitaji pesa nyingi kufanya kazi wakati hawana vifaa wala ubunifu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.