Gigy Money Afnguka "Siwezi Kumtaja Mchumba Wangu, Wachumba Wengine Wataniogopa" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Gigy Money Afnguka "Siwezi Kumtaja Mchumba Wangu, Wachumba Wengine Wataniogopa"

Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana mpenzi.

Gigy ni mmoja kati ya watu walio tayari kujilipua mitandaoni kwa tukio lolote bila kujali.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Gigy amesema, “mimi nataka wachumba wengine nikimtaja yeye sasa wachumba wengine si wataniogopa!”

“Mwanaume wangu ni mbongo na anafikiri sana, ni mtu mkubwa sana. Kuna wavulana wazuri wewe Dullah usinitanie wewe. Mchumba wangu ni handsome lakini ana elimu sana, mpaka muda mwingine hadi kulala mnatumia elimu. Halafu mimi maisha yangu siyo elimu sana ujanja mwingi,” ameongeza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.