Formation World Tour ya Beyonce Yaingiza Dola Million 20 Kwa Show Nne Tu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Formation World Tour ya Beyonce Yaingiza Dola Million 20 Kwa Show Nne Tu.

Queen Bey anaendelea kutengeneza histori na ziara yake ya muziki ‘Formation World Tour ya Beyonce’, Hadi sasa ameshaingiza zaidi ya dola Million 20.
Hadi sasa muimbaji huyo wa ‘Lemonade’ amefanya show 4 zilizomuingizia dola million 20,668,255, ambapo show ya kwanza ya aliyoifanya aliingiza $5,252,615, Ya pili aliingiza $4,803,295, ya tatu akaingiza $5,801,725 na ya nne $4,810,620.

Tour yake ya mwisho aliyofanya na Jay Z ‘On the Run’ waliingiza zaidi ya dola Million 100.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.