Floyd Mayweather Anatumia Milioni 6 za Kibongo Kunyoa. Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Floyd Mayweather Anatumia Milioni 6 za Kibongo Kunyoa. Ipo Hapa


Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”

Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.