Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET 2016 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET 2016

Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa. Staa huyo atachuana na nguli wengine wa Afrika wakiwemo Wizkid, Yemi Alade wa Nigeria, AKA, Cassper Nyovest na Black Koffie wa Afrika Kusini na wengine wawili.
Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi June nchini Marekani. Diamond pia atatumbuiza June 26 kwenye tuzo hizo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.