Video: Ile Ngoma Ya Diamond Ft Neyo Utamu Wake Umeanza Kuvuja Hapa, Jionee Mwenyewe. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Ile Ngoma Ya Diamond Ft Neyo Utamu Wake Umeanza Kuvuja Hapa, Jionee Mwenyewe.

Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.