Dar: Akamatwa kwa Kusambaza Kuku Waliokufa Kwa Wauza Chips - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dar: Akamatwa kwa Kusambaza Kuku Waliokufa Kwa Wauza Chips

Kijana mmoja mkazi wa Buguruni amekamatwa baada ya kubainika akiwa na kuku 78 waliokufa kwa ajili ya kusamabaza kwa wauza chips.

Alikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kutoka kwa raia kuwa kuna mtu alikuwa anasamabaza kuku waliokufa kwa wauza chips na mighahawa.

Afisa Afya Kata ya Buguruni amesema baada ya uchunguzi kuku hao baada ya kuchunguzwa hawafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa walikuwa wameshakufa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.