Breaking News: Ndege ya Egyptian Air Yatoweka Angani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Ndege ya Egyptian Air Yatoweka Angani

Ndege ya shirika la Egytian Air yenye namba 804 iliyokuwa ikitoka Paris kuelekea Cairo imepotea kwenye radar ikiwa na watu 66.

Ndege hiyo ilikuwa juu umbali wa futi 37,000 ilipopotea muda mfupi baada ya kuingia kwenye anga la Misri.

Jeshi la Misri limeanza msako na shughuli za uokozi kwenye eneo hilo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.