Breaking News: Asha-Rose Migiro Ateuliwa Kuwa Balozi wa Uingereza - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Asha-Rose Migiro Ateuliwa Kuwa Balozi wa Uingereza

Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.