Bado Sijajua Watu Wanaupendea Nini Muziki wa Diamond Platnumz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bado Sijajua Watu Wanaupendea Nini Muziki wa Diamond Platnumz

Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB ila cha kushangaza hawapendwi (muziki wao).

Sasa nashindwa kuelewa inakuwaje ?? Mfano huyu Diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana, kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.

Sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nini tatizo au ni ufreemason na uganga wa kupumbaza watu ?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee, nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho, basi!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

4 comments

stanillex said...

Hahahahaha kwani lazima u download zake kua na akili basi mtu mzima ww bana

stanillex said...

Hahahahaha kwani lazima u download zake kua na akili basi mtu mzima ww bana

bob cloudy said...
This comment has been removed by the author.
bob cloudy said...

Acha ujinga wako na ufinyu wa mawazo kama ww waweza kaitangaze nchi ww kama alivyo itangaza diamond

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.