Bifu la Shilole na Vanessa Mdee Lazidi kupamba Moto Warushiana Maneno Makali Instagram - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bifu la Shilole na Vanessa Mdee Lazidi kupamba Moto Warushiana Maneno Makali Instagram


Ni juzi tu tuliona video ya msanii wa kimataifa vanessa mdee akimfundisha yai local artist Shishi baby salon cha ajabu ni leo ghafla wamenza kutupiana maneno uko instagram
shilole alianza na ujumbe huu


Haikuchukua mda nae vanessa mdee v. money amendika maneno haya kupitia instagram account yake

"Nikupe KICKIII ujulikane au sio? Kila siku twanyamaza ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio wale uliowazoea. P.s: You ain't worth this post inashushwa sasa hivi" #MessageSent

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.