Picha: Penzi La Barakah Da Prince na Naj Lazidi Kunoga, Sasa Hivi ni Full Mahaba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Penzi La Barakah Da Prince na Naj Lazidi Kunoga, Sasa Hivi ni Full Mahaba.


Unakumbuka kipindi Kanye West na Kim Kardashian wameanzisha uhusiano wao? Watu waliwapa siku chache tu wakiamini kuwa penzi lao haliwezi kudumu.
Leo hii ni wanandoa, wana watoto wawili na penzi lao bado lipo imara. Ndivyo ilivyoonekana kwa Barakah Da Prince na Naj pia. Ni kwasababu katika kipindi kifupi tangu aanze kuvuma, Barakah alihusishwa kuwa na uhusiano na warembo A-List wakiwemo Linah, Meninah, Masogange na hadi Nisha.
Hivyo wengi walivyosikia kuwa muimbaji huyo wa ‘Siwezi’ kahamishia mapenzi kwa Naj, walijua napo anapita tu. Pia ni kutokana na mahusiano mengi ya mastaa hayadumu. Guess Barakah anaweza kutuprove wrong kwasababu kuna kila dalili kuwa penzi lao limezidi kushika mizizi zaidi na hawataki tena kulificha.

Swali ni je wataendelea kuwa pamoja kwa miaka mingi ijayo ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.