Je Aunt Ezekiel ni Mjamzito ?, Yapo Hapa Maneno Ya Mose Iyobo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Je Aunt Ezekiel ni Mjamzito ?, Yapo Hapa Maneno Ya Mose Iyobo

Wakati mtoto wa Aunt Ezekiel na Mose Iyobo akikaribia kutimiza mwaka mmoja hivi karibuni, Mose amefunguka kuhusu kupata mtoto mwingine wakiume na mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu.
Akizungumza na Bongo5, Mose amesema kwa sasa anafurahia maisha na mrembo huyo wa filamu na soon watapata mtoto mwingine wakiume.

“Sasa mimi na Mama Cookie tunamipango endelevu, kama hivyo ushamuona Cookie bado kuna kaka yake Cookie anakuja na vitu vingine vitaendelea, soon mtasikia tu,” alisema Mose.

Mose alisema anafuraha kuwa kwenye mahusiano na Aunt Ezekiel.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.