Akiwa Kwenye Skendo Kubwa ya Usaliti, Pepsi wametoa kauli juu ya Tiwa Savage kuwa balozi wao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Akiwa Kwenye Skendo Kubwa ya Usaliti, Pepsi wametoa kauli juu ya Tiwa Savage kuwa balozi wao.

Kampuni ya kinywaji cha Pepsi wamethibitisha kuwa baada ya skendo kubwa ya usaliti iliyomkumba Tiwa Savage, bado msanii huyu ni balozi wa kinywaji hicho.

Nigeria imemuangukia Tiwa Savage kwa tuhuma za usaliti zilizosambazwa mitandaoni na kurasa ya instagram ya mume wake ambaye baadae alisema kurasa hio ilivamiwa.

Siku mbili zilizopita Tiwa Savage alikanusha kumsaliti mume wake na kusema Mume wake TeeBillz alikuwa anahusishwa na uuzaji wa dawa za kulevya na pia anajua amemsaliti na sio mara moja.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.