Wolper Ameshawishika Kuandika Ujumbe Huu Wa Mapenzi Baada ya Baridi Na Mvua Zinazoendelea. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Ameshawishika Kuandika Ujumbe Huu Wa Mapenzi Baada ya Baridi Na Mvua Zinazoendelea.

Baada ya baridi kuonekana kali jijini Dar es Salaam na kimvua kikiwa kinashawishi watu ku kwichikwichi, Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameona bora aandike waraha huu kuhusu mapenzi. Usome hapa chini.

"Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi 😂😂
But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa views zangu tu
LOVE and being INLOVE ni vitu viwili tofauti, unaweza kumpenda mtu asijihisi sawa na wewe ila iyo haibadilishi kumpenda

Na pia unaweza kukutana na mtu mkapendana na mkakaa mkapanga maisha ya badae etc
Ila cha kuzingatia na aina ya mapenzi mliochagua, kuna yale ya kimjini mjini (kick za hapa na pale) hayo hayana shida cause commitment level yake ni ndogo na likelihood ya kuumizana pia ndogo
Kiasi mkiachana kila mtu anasepa zake na no hard feelings

Then kuna yale ya one sided yale ambayo bahati mbaya wanawake tunajikuta nayo sana.. Hapa ni umempenda mtu fully ila yeye ana issue zake bado, so wewe pale umejibweteka na unapenda kweli being faithful and all ila yeye anakupiga fix

Ukute ana mwingine pembeni prolly wengine hadi kuoa washaoa ila wewe si umependa?? Anakudanganya hana na wewe unamuamini, ukichunguza hapa na pale unaona hakuna ... Hata ukiambiwa macho umefunga kwasababu ya moyo, haya shida yake ni mmoja lazima uumie kwakua aliweka imani yako pale..

Ya tatu na ya mwisho ni yale wote wako committed ila circumstances zinawafanya waachane (hapa wote wanaumia kwakua wote waliweka high hopes)

Sasa kuna almost relationships ambazo kila mtu ana time zake so mkikutana poa, msipokutana poa pia... Kuna zile side relations (sidechick au side nigga) unakuta ana commitment uko na wewe kule ila mkikutana mnafanya yenu (hii imekua common sana siku hizi.. Sijui kwanini ila binafsi naona its destroying our young girls )
Na zingine nyingi ..

Now my point is with all this relations types embu jichunge moyo wako na uwe mkweli kwa nafsi yako.. Cause in the end anaeumia ni wewe si wanaokusapoti sio aliekuacha au watu wanao comment insta..

Ni wewe na moyo wako, na kitanda chako usiku ukilia.
Kabla hujaanza jua risk na kama its worth it, take it.
Ila kama una second thoughts tafadhali acha tu.

Yaani mi naona hakuna right or wrong in this ila cha muhimu ni wewe na nafsi yako
1. Umependa?
2. Una mpango gani katika huo uhusiano
3. Mwenzio amesimama wapi na ana mpango gani

Cha mwisho na kikubwa embu SALI, piga goti we salia mahusiano yako"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.