Video Ya Wema Sepetu Akibusiana na Mwanaume Mwingine Yauvunjavunja Moyo wa Idris Sultan....... - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video Ya Wema Sepetu Akibusiana na Mwanaume Mwingine Yauvunjavunja Moyo wa Idris Sultan.......

Mapenzi yanaumiza, kama hujawahi kuumia huyajui.

Na kama unahitaji ushahidi kutoka kwa mtu ajuaye maumivu yake kwanini usimuulize Idris Sultan? Ni kwasababu mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 anauguza jeraha la moyo baada ya mwanamke ampendaye – Wema Sepetu kumchoma kwa mkuki wenye moto moyoni mwake.


Wakati akiwa safarini jijini Nairobi, alishangazwa na video inayomuonesha mpenzi wake akimbusu mwanaume mwingine. Video hiyo imekuwa viral mtandaoni. Story zinaeleza kuwa pamoja na jamaa huyo kuwa ‘chakula’, bado ni mwanaume tu na video hiyo imemuumiza mtoto wa Sultan.

Idris amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuandika:

“I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho Jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi.”

Bado Wema hajasema chochote.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.