Video: Rapper Young Dee Awehuka Wakati Anafanyiwa Interview, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Rapper Young Dee Awehuka Wakati Anafanyiwa Interview, Ipo Hapa

Bet Sasa
post-feature-image
Young Dee awashangaza mashabiki wake baada yakuonekana amewehuka wakati akifanyiwa mahojiano ya TV. Kwenye show ya eNewz inyorushwa na EATV, Young Dee anaonekana kuongea mambo yasio eleweka na kuondoka kwenye mahojiano hayo kisha kwenda kumsalimia rafiki yake. 

Video ya mahojiano hayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii nawengi waliyo iona hiyo wamejiuliza kama atakuwa mzima wa akili au amewehuka!

-tubongetz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.