Video: Filamu ya maisha ya 2 Pac imekamilika,Kipande cha dadika chache kabla hajapigwa risasi kipo hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Filamu ya maisha ya 2 Pac imekamilika,Kipande cha dadika chache kabla hajapigwa risasi kipo hapa.

Filamu ya maisha ya Tupac ‘All Eyez On Me’ imekamilika kwa kurekodiwa kwa sehemu za mwisho mjini Las Vegas wiki hii.

Sehemu za mwishi kurekodiwa ni kifo cha Tupac mjini Sin City, picha zinahusu kupigwa risasi kwa Tupac mjini Sin City kwenye Vegas strip baad aya pigano la Mike Tyson dhidi ya Bruce Seldon mnamo September 7, 1996, Tupac alifariki kwa kuvuja damu kwa ndani September 13.

Producer LT Hutton wa filamu hii ametuonyesha sehemu ya mwisho ambapo mwigizaji Demetrius Shipp Jr ‘2 Pac’ yko kwenye gari na Dominic L. Santana ‘Suge Knight’.

“THANKS TO THE CITY OF VEGAS !” Hutton writes for the caption. “#ALLEYEZONME #tupacmovie #tupac#2PACBIOPIC #2PAC #weworking.”

Filamu ya All Eyez on Me,itatoka kwneye maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha 2 Pac. BONYEZA PLAY KUITAZAMA HII VIDEO.

A video posted by LT HUTTON (@lthutton) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.