Tundaman Adaiwa Kudanganya Kuwa Alikuwepo Kwenye Gari Lililopata Ajali na Kumuua Rafiki yake.... - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tundaman Adaiwa Kudanganya Kuwa Alikuwepo Kwenye Gari Lililopata Ajali na Kumuua Rafiki yake....

Bet Sasa

Najaribu kufikiria nje ya box Kama ni kweli huu uongo wa ajali ya Tundaman kwa faida ya nani?
Kwenye mitandao kunaenea habari kuwa Mwimbaji Tunda Man hakuwa kwenye gari lililopata ajali juzi wakati wakutoka kwenye show ambapo ajali hiyo ilipoteza maisha ya rafiki wa karibu wa Tundaman.....Inasemekana Tunda Man alikuwa kwenye gari ya Noah ambayo ilikuwa imeongozana na Gari iliyopata ajali lakini baada ya ajali Tunda akajifanya na yeye alikuwepo ndani ya gari hiyo...

Soma hapa kinachoendelea mitandaoni:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.