Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba Afariki Dunia

Bet Sasa
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.

R.I.P

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.