SIMANZI: Msanii Bongo Muvi Afariki Dunia Akijifungua Hospitalini - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

SIMANZI: Msanii Bongo Muvi Afariki Dunia Akijifungua Hospitalini

Bet Sasa
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.