Salama Ina Nini cha Kusema ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Salama Ina Nini cha Kusema ?


Salama inaamini katika kusherehekea uhodari wa kuwa Original kwa vijana. Kwa vijana wa kitanzania walio na fursa kubwa, ujumbe wetu kwako ni “kamwe usiwe na uwoga wa kufanya kile unachopenda, sherekea uhalisi wako na ufurahie maisha kikamilifu ukiwa salama na afya bomba.

Salama inakubali kwamba kuwa mahusiano na ngono ni vitu ambavyo vinapaswa kufurahiwa kwa kijilinda. Tukizingatia hilo, kuna 3 bomba iliyo na kondomu 3 zenye fleva tofauti katika pakiti moja; strawberry, chocolate na banana, zinaongeza good time wakati wa ngono.

Kama unataka kujaribu kitu kipya kitakachokusisimua, ipo Salama yenye vinundu, inapandisha hisia na msisimuko. Vilevile, tunaamini katika uhalisi ndio maana tunayo pia Salama halisi kwa wale wanaozikubali kondomu za kawaida.

Tunahamasisha afya bomba ya tabia ngono miongoni mwa vijana. Kumbuka, wakati ndio huu. Jitambue sasa, usisahau kulinda afya yako. Sherekea uhalisi wako pamoja nasi na daima kumbuka. Usihofu, fanya maamuzi sahihi, chagua aina ya kondomu uipendayo kulingana na mzuka ulionao ufurahie ngono kwa usalama zaidi.

#KuwaOriginal #ChaguaOriginal

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.