Rapper AKA Afunguka Jinsi 'Make Me Sing' Aliyofanya na Diamond Ilivyofungua Njia Ya Music Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rapper AKA Afunguka Jinsi 'Make Me Sing' Aliyofanya na Diamond Ilivyofungua Njia Ya Music Wake.

Bet Sasa

Ukifanya collabo na Diamond Platnumz lazima ufike mbali, shahidi ni Kiernan Jarryd Forbes wamjua zaidi kama AKA.

Rapper huyo jeuri amedai kuwa collabo yake na Diamond ‘Make Me Sing’ imemfungulia milango mingi na imemfikisha ambako hakuwahi kufika.

Kupitia Twitter rapper huyo aliandika:


Video ya wimbo huo iliyotoka February 12, hadi sasa ina views zaidi ya milioni 2.5.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.