Polisi Arusha Aamkamata Aliyemtukana Rais Magufuli Mtandaoni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Polisi Arusha Aamkamata Aliyemtukana Rais Magufuli Mtandaoni.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limemkamata mkazi mmoja wa mkoani humo kwa kosa la kumtukana Rais John Pombe Magufuli kisha kuweka katika mitandao ya kijamii.

Raia huyo anayefahamika kwa jina la Isaack Habakuk Emily alimtukana Rais Magufuli kuwa ni `Bwege’ na kueleza kuwa hapaswi kujilinganisha na Mwalimu Nyerere.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.