Picha: Si Diamond tu, hawa ni mastaa wengine wa kiume duniani wenye vipini vya pua - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Si Diamond tu, hawa ni mastaa wengine wa kiume duniani wenye vipini vya pua

Diamond Platnumz anaendelea kuwaumiza kichwa mashabiki wake kwa kipini chake cha pua.
Kwa tamaduni za Kitanzania, si kitu cha kawaida mwanaume kutoboa pua au hata tu kupachika kipini puani ndiyo maana tangu staa huyo aonekane akiwa na kipini hicho, mashabiki wake mwenyewe hawaishi kumshambulia.
Hata hivyo haoneshi kushtushwa na malalamiko hayo kwakuwa huenda anajua kuwa si mtu wa kwanza kufanya hivyo.
Hawa ni mastaa wengine duniani wanaovaa kipini cha pua.
The Game
Wiz Khalifa

Chris Brown

Travis Mccoy

Travis Barker

Lil Scrappy

Lenny Kravitz


Mac Miller


Zayn Malik

Young Thug

And ofcourse Tupac

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.