Picha: Roma Mkatoliki afunga ndoa na ‘Mama Ivan’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Roma Mkatoliki afunga ndoa na ‘Mama Ivan’

Roma Mkatoliki amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Mama Ivan.
Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.
Kupitia Instagram, Roma ameandika: Was a beautiful day #9thApril2016 Thanx God Finally A made it. @mom_ivan @mom_ivan #SpecialThanx Asanteni sana ndugu zangu mliokuwa nami bega kwa bega katika kulifanikisha hili. My boss @j_murder_tongwe Tisha sana mzazi. Oi My homie #Kepitein @captaintanzania Asante sana wakwetu. #BabaJonii @adamchomvu Thanx #Blood My men @harakatizabongo asante kwa kuja. My day one partna @kalajeremiah Am speechless bro. Thanx Chief #LeuNyaulawa @timesfmtz #KomandoMwamba @arnoldmadale Oi tisha bablai. My babe @daynanyange love u umejitoa sana mamii.
Tazama picha zaidi:Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.