Picha: Ray Azidi Kupondwa Na Uweupe Alio Nao, Huu Ni Utani Mpya Ulioanza Instagram - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Ray Azidi Kupondwa Na Uweupe Alio Nao, Huu Ni Utani Mpya Ulioanza Instagram

Bet Sasa

Nguli katika tasnia ya filamu hapa nchini, Vincent Kigosi maarufu kwa jina la Ray, miezi michache iliyopita alifanyiwa mahojiano na eNewz ya EATV nakujibu kuwa uweupe alio nao kwasasa hautokani na mikorogo kama watu wanavyo dai bali huletwa na kunywa maji mengi pamoja na mazoezi kitu kilichosababisha Tanzania kumfahamu Ray zaidi.
Lakini sasa upande wa Instagram umeibua utani mpya baada ya Ray kupost picha yake mwenyewe kwenye account yake ya Insta na watu kuitazama picha ya staa huyo huku sura yake ikifanana na sakafu ya eneo alilo kuwepo.

Ukiitizama picha hiyo hapo juu, Nikweli Ray anafanan rangi na sakafu hiyo? Dondosha maoni yako hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.