Picha: Muonekano halisia wa Yemi Alade akiwa katika mavazi ya ufukweni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Muonekano halisia wa Yemi Alade akiwa katika mavazi ya ufukweni.Mashabiki wadata na picha za Yemi Alade kwenye jarida la OnoBello Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade ameonekana kwenye toleo jipya la jarida la OnoBello akiwa amevalia nguo za kuogelea.

 Picha hizo zimesambaa sana mtandaoni na zimeonekana kuwavutia mashabiki wengi wa staa huyo ambaye kwa sasa anatangaza album mpya, Mama Africa.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.