Natamani Kufanya Kazi na Vanessa Mdee – Pam D - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Natamani Kufanya Kazi na Vanessa Mdee – Pam D

Bet Sasa
Msanii wa Bongo fleva Mwanadada Pam D a.k.a Pam Daffa amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kufanya kazi na V Money kwa sasa.
Pam D akiongea na Enewz alisema wiki ijayo ataachia ngoma yake aliyoshirikiana na Nay wa Mitego, lakini zaidi ni kuwa anatamani sana kufanya collabo na Vanessa Mdee.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.