Mwanasiasa wa Upinzani Auawa Jijini Nairobi Kenya. Kisa Chote Kipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanasiasa wa Upinzani Auawa Jijini Nairobi Kenya. Kisa Chote Kipo Hapa

Mwanasiasa wa upinzani ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Stephene Mukabana ambaye ni kiongozi wa vijana wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), aliuawa usiku wa juzi wakati alienda kumsaidia mtu mmoja aliyekuwa akiporwa na kundi la watu sita kwa mujibu wa gazeti la Standard nchini humo.

Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa umri wa miaka 42.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.